Hodi humu ndani

czleinc.

New Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
3
Reaction score
1
Kwa mda mrefu nimekuwa nikielimika, kuburudika, kuhuzunika, kushangaa na kupanuka kimawazo kutokana na mijadala tofauti tofauti ya ndani ya JF. Natowa tamko sasa kuwa nimejiunga rasmi ili kuwa sehemu ya hiyo mijadala. Naomba kuwasilisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…