God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
habari zenu kwa wale tuliolingana kiumri. shkamooni wakubwa zangu akina mama na baba. Mimi mgeni naomben mnipokee. love for all.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana. Unapenda kutembelea jukwaa gani? Mimi nashinda kule sports.
Karibu sana.
Marahabaaa kilembwe wetu,karibu sana humu,humu kuna chaguo la watanzania na chaguo laaaa....... Fanya maamuzi usijebaki kulinda nguzo huku umeme unawaka kwa jirani.
karibu sana jf
krb sana JF..........
Karibu sana mkuu.