God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Karibu sana. Unapenda kutembelea jukwaa gani? Mimi nashinda kule sports.
Karibu sana.
Marahabaaa kilembwe wetu,karibu sana humu,humu kuna chaguo la watanzania na chaguo laaaa....... Fanya maamuzi usijebaki kulinda nguzo huku umeme unawaka kwa jirani.
karibu sana jf
krb sana JF..........
Karibu sana mkuu.