Hodi humu wenyeji!!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Naitwa DJ sepetu aka muosha rungu nilijiunga mwezi wa saba mwaka huu ila sikuwa nimejitambulisha Na kuwasalimu!

Naomba mnipokee kwa mikono Na miguu!
Ni mpole ambaye sijui kununa chuki kwangu mwiko

Sina wivu Na tamaa Na cha mtu
Sijawahi iba mke Wa mtu ila akijikomba sivungi

Hodi tena au pako wazi!!
 
Just kidding, lakini huyu dogo kiki za interview zimeisha kwa hiyo kila siku lazima atoe thread za kijinga jinga.
S kuna hii interview tunaisubiria ya kaka anaitwa..... sijui nani vilee kama Alibakari sijui vileeee (kwa sauti ya Mkude) hahahaaha
 
S kuna hii interview tunaisubiria ya kaka anaitwa..... sijui nani vilee kama Alibakari sijui vileeee (kwa sauti ya Mkude) hahahaaha

Okay, so labda amebadilika baada ya kuanza ku-interview wanaume, maana nakumbuka alikuwa anafanya kwa wanawake tu, sasa latest kaweka avatar ya kike na kuanza kutafuta wanaume wa ku-interview.

There is always nothing like coincidence, things happen for reasons.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…