Hodi Humu!

Hodi Humu!

Nyete

Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
58
Reaction score
61
Wakuu Nimeona Ni Vema Nami Niingie Humu Nijichotee Maarifa Mbalimbali Kutoka Kwenu Maana Jf Ni Kisima Cha Maarifa Mbali Mbali. Naomba Mnipokee, Asanteni.
 
Karibu sana.. JF ni bustali la bibi... ingia ufaidike !!
 
Wakuu Nimeona Ni Vema Nami Niingie Humu Nijichotee Maarifa Mbalimbali Kutoka Kwenu Maana Jf Ni Kisima Cha Maarifa Mbali Mbali. Naomba Mnipokee, Asanteni.
Dah....!!! Badala ya kujichotea maarifa wewe ukajichotea mahela.
 
Back
Top Bottom