political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
Mimekuwa nikisoma ujumbe humu ndani kwa zaidi ya miaka 2 lkn leo nimeamua nijisajili rasmi ili niwe napost mawazo yangu najitamburisha kwenu kama political engineer
Hata na mimi nimejisajili leo' sasa naona nikukaribishe tu
Mimekuwa nikisoma ujumbe humu ndani kwa zaidi ya miaka 2 lkn leo nimeamua nijisajili rasmi ili niwe napost mawazo yangu najitamburisha kwenu kama political engineer
Karibu JF
Mkuu id yako ni special kwa ajil ya kukarbisha ids mpya jf???