Habari wanaJamii Forum. Mimi ni mgeni humu. Kwa wale wenye maswali yoyote yale karbuni.. nam pia baadh nitawauliza nyinyi wenyej wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan yeye kasemajeHapo unataka nini??
Mkuu nina demu wa kizungu mm ohoooHaya tuseme yeye ni KE, 🤣🤣, what next??
Shukran sana ndugu yanguKaribu JF.. Home of great thinkers n sinkers
Jr[emoji769]