emmasonbern
Member
- Jan 26, 2013
- 5
- 0
Nafurahi sana kujiunga katika jamii hii ya watu wenye kufikiri sana, naamini sijapotea na ninamatumaini ya kulelewa vyema sababu me bado ni jani dogo ambalo linatakiwa likuwe kama mbuyu..., nashukuru na ninawapenda wote.
Ila ninakaswali jamani
"Kwakweli Tanzania ni nchi inayotambulika kuwa miongoni mwa mataifa yenye amani safi, Lakini hivi wananchi wake wanaamani kweli?"
Ila ninakaswali jamani
"Kwakweli Tanzania ni nchi inayotambulika kuwa miongoni mwa mataifa yenye amani safi, Lakini hivi wananchi wake wanaamani kweli?"