Hodi! jamani, hodi wenyewe naomba mnipokee...

emmasonbern

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Nafurahi sana kujiunga katika jamii hii ya watu wenye kufikiri sana, naamini sijapotea na ninamatumaini ya kulelewa vyema sababu me bado ni jani dogo ambalo linatakiwa likuwe kama mbuyu..., nashukuru na ninawapenda wote.

Ila ninakaswali jamani
"Kwakweli Tanzania ni nchi inayotambulika kuwa miongoni mwa mataifa yenye amani safi, Lakini hivi wananchi wake wanaamani kweli?"
 
Hawana amani. Karibu sana JF.
 

Karibu sana emmasonbern
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…