mchakachuaji192
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 366
- 68
Ndugu jamaa na marafiki napenda kubisha hodi humu ndani kwa moyo mmoja naomba kukaribishwa na mlioko humu ndani kwa ushirikiano wenu na kuwa pamojakatika uchangiaji wa hoja mbalimbali, nawatakia majukum mema na tuendelee kuwa pa1 ktk ujenzi wa nchi yetu, love you all, pia ningependa kujua yaruhusiwayo na yasiyoruhusiwa ndani humu just for future reference
Karibu mchakachuaji, soma hapa
1. https://www.jamiiforums.com/habari-...10851-how-to-use-jamiiforums-effectively.html
2. https://www.jamiiforums.com/mahusia...7-you-must-read-this-tafadhali-soma-hapa.html
3. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/18042-jamiiforums-rules.html
4. https://www.jamiiforums.com/mahusia...miiforums-msimamo-wetu-na-maelezo-kidogo.html
USITUMIE LUGHA CHAFU TAFADHARI
isije ikawa hata hii hodi umeichakachua - anyways karibu:A S-frusty:
Karibu sana
Baada ya hodi nini cha kwanza utafanya hapa JF? Pale kwenye poll au? Kama wewe ni Mchakachuaji 192 hao 191 wako wapi? Je, kuna wengine zaidi ya 192?
Duh!unaingia kwanza ndiyo unapiga hodi?wewe ni kabila gani?