D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
tukikuquote inaleta jina hiloI miss those days
sawaI wonder how..Sijui ni tatizo au ndio ilovyo ndo naona leo..
Hapa ndio unanichanganya! kwenye ile thread ile unayotafuta kazi ya u nesi umesema ni female, sasa hapa unasema ni male?!!!!Mm ni me hata jina linajionyesha lisome kutoka mwisho utanijua
Kumbe! mie sikuzote nilijua tangu unajiita Mondray, ukawa Generies na sasa Da'vinci nilijua ni mwanamme kumbe ni mwanamke. haya.Mimi ni Ke NAHUJA au ulishawahi kuona kitambulisho changu
Sawa umeandika kumridhisha au umeandika ukweli!?..Sisemi naandika mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shosti????Mimi sijawah tumia jina hilo.
Ndio mm Ke shostiiπππ
Alikuwa Mondray, akawa Da'Vinc sasa ni DenversSjui kwanini skuizi nimekosa imani na hizi new ID.....[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Ahsante mheshimiwa mjumbe...Alikuwa Mondray, akawa Da'Vinc sasa ni Denvers
Ahsante mheshimiwa mjumbe...
Ahsante mheshimiwa mjumbe...