hodi jamani wa wapi wenyeji wakarimu.

Gitifii

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
249
Reaction score
141
Salamu wana jf, naulizia njia na nyumba ya wageni nipate kutua mizigo na kuoga na kupumzika.
 
karibu sana
jazba hazitakiwi kama mtu kakuudhi bora ukae kimya kuepuka bun.
fikra mbadala na busara zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…