Hodi jamani wandugu

Hodi jamani wandugu

We ushaingia na viatu toka juzi bila hodi sasa ndio unajifanya kubisha hodi?
Omba samahani kwanza kwa kosa hilo ndio upokelewe bila hivyo utapigwa ban sasa hivi
 
Samahani akaunti yangu wameiactivate leo ndio maana mnaona hivyo
 
Nawashukuru kwa kunikaribisha nilipokosea nisamehewe nawapenda wote
 
Back
Top Bottom