Hodi hodi hapa jamfini nduku sangu wana Jamii Forum. Ni mimi Mtansania mwensenu Msee Lekasio nimeamua kujiunga ili tuwese kubadilishana mawaso katika kuendelesa hili gurudumu la maendeleo ya nji yetu. Kama wanafyosema waswahili "kuku mjeni hakosi kamba mguuni" na mimi niko tayari kusikilisa na kujifunsa kutoka kwenu, hasa tukisingatia mbado siku chache tuelekee kwenye uchagusi mkuu. Naomba mnipokee kwa mikono miwili. Asanteni sana!