habari zenu wenyeji, mimi mgeni katika Jamii forum, naomba kupokelewa kama kuna maelekezo nipewe.
Asanteni
Karibu soma sheria za jf.habari zenu wenyeji, mimi mgeni katika Jamii forum, naomba kupokelewa kama kuna maelekezo nipewe.
Asanteni
asante kwa ukaribisho. Nlikuwa napita nje tu, ckuwahi kuingia ndani