Hodi jamiiforums

Hodi jamiiforums

Mordekai

Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
30
Reaction score
2
Hodi!

Mimi sio mgeni saaana hapa jamvini, ila nimechoka kukaa pembeni nikaamua kuwa mwanachama hai.

Nimesoma posts zenu na kuona wingi wa busara na hekina zilizomo hapa, nawapa BIG UP wote walio serious na issue zinazojadiliwa.

Naomba kufahamishwa sheria na taratibu za nyumba hii nisi misbehave please!
 
Karibu sana Mordekai, sheria ziko wazi muda si mrefu utazoea nyumba hii.
 
Back
Top Bottom