Hodi jamni - Ufahamu ni silaha dhidi ya Ujinga

LIBRARY

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
231
Reaction score
238
Haya haya wale wazee wa kupanua uelewa na kuongeza uwezo wa kifikra, Napenda kuwajuza kuwa nimeamua kuja kivingine kama Books library / Maktaba kuu. Kazi yangu mimi itakua ni kukutanisha na Vitabu mbalimbali, journals, Academic researches, Novels, comics na vijarida vingine vingi ambavyo vimeshawahi kuandikwa na watu mashuhuri Duniani. “You name it, we find it”.
-Karibu
 
Karibu ndani...i love ur heading.

Tuanze na animal kingdom...
 
Karibu sana jamvini, utakuwa na umuhimu sana hapa jamvini.
 
karibu...karibu majukwaa yote yanakuhusu
 
Karibu Mkuu. Hebu tuanze na Bermuda Triangle.
 
Exactly..huwezi amini hata author alikua kanitoka!
Animal Farm
George Orwell
1945
kipo kwenye library yangu just ni PM Nijue uwezekano wa kukupatia. c unajua ni moja ya banned books.
 
Karibu Mkuu. Hebu tuanze na Bermuda Triangle.

Into
the Bermuda
Triangle
Pursuing the Truth Behind
the World's Greatest Mystery
Gian J. Quasar
INTERNATIONAL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…