Mzee Koyu Mbochi
Member
- Jun 2, 2020
- 18
- 29
SASA HIVI MAISHA BILA KIKI HUTOBOI..... HAKUNA NAMNA MKUUYaani unaingia kwanza kwa kutafuta kiki halafu ndo unakuja tena kujitambulisha...!?
Karibu sana Jei Efu.
IPI HIYO?tumia ld yako iliyozoeleka mkuu
ASANTE SANA KWA UKARIBISHOYaani unaingia kwanza kwa kutafuta kiki halafu ndo unakuja tena kujitambulisha...!?
Karibu sana Jei Efu.
Punguza mbwembwe mzee!Wajameni naomba mnikaribishe baada ya kukimbia CORONA KWA MUDA sasa nimerudi jijini Dodoma
π³Punguza mbwembwe mzee!
Nani kasema hivyo mkuu?SASA HIVI MAISHA BILA KIKI HUTOBOI..... HAKUNA NAMNA MKUU