Hodi Jamvini

TheBulldozer

New Member
Joined
Apr 27, 2009
Posts
3
Reaction score
0
Mambozzz wenye nyumba na wenyeji. Naomba kukaribishwa jamvini.
Waislam Assalaam Alaikum, wakristo Bwana Asifiwe, wengineo nawasalimia.
 
Karibu sana. Kwa uhondo utaoufaidi humu ndani, naamini utaalika na wengine wajiunge. Again, karibu sana.
 
Mlango uko wazi wee usukume tu. Tusker Bariidi na Makonyagi watakuchagulia kinywaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…