Mimi nikiwa mgeni humu ndani naomba kujiunga nanyi ili tusaidiane na kujengana kimawazo na hata kiuzoefu wa maisha. Nawapongeza nyote wana jamii mnaotoa michango chanya na mizuri kwa kuisaida jamii yetu na hata wale wa masihala itafika siku kwa matashi yao watabadilika na kuwa wa msaada katika jamii...Zaidi niwatakie Weekend yenye heri na tuzidi kuelimishana na kusaidiana kwa ushauri wa kujengana.