Hodi Jamvini

Ngwena

Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
30
Reaction score
3
Mgeni siku ya kwanza....................., natumai nitapata mapokezi mazuri.
 
Mgeni siku ya kwanza....................., natumai nitapata mapokezi mazuri.

kabisa na mimi ndio niko shift mapokezi leo...utapenda kula nini?
 
Mimi nitakuja na mgeni please tuandalie ugali na maziwa ya mtindi

hakuna tatizo......kwa kuwa mmeamua kula suti (ugali&maziwa) nitaandaa
 
Teh teh teh FULL SUTI, mwaya karibu mgeni lakini siku ya pili ushike jembe ukalime.

No sio kesho,leo leo akalime !!!!!!!!!!! unasema akalime kesho akiamua kuwa mgeni sehemu nyingine si atamaliza wiki bila kufanya kazi? Hata hivyo karibu sana.
 
karibu sana babaake.
jiskie home!
Mpwaaa umerudiiiiiiiiiiiii, nina furaha sana kukuona jamvini kaka
Karibu tena bra

Nitakuja na mgeni, Preta ameahidi kutuandalia ugali - maziwa then ataenda kutununulia soft drinks Le Barbie au VIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…