Hodi Jf bahari ya Elimu,,

Big jay

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
96
Reaction score
33
Nimeamua kujiunga nanyi wadau baada ya kuwa mfuatiliaji wa mda mrefu kwa huu uwanja wa mawazo na fikra yakinufu... Ndugu zangu kuna watu wananikosha sana kwa uchambuzi wao,,,,
mzizimkavu/mbuzi mzee/ niataomba ushirikiano wenu, asanteni sana.
 
Nimeamua kujiunga nanyi wadau baada ya kuwa mfuatiliaji wa mda mrefu kwa huu uwanja wa mawazo na fikra yakinufu... Ndugu zangu kuna watu wananikosha sana kwa uchambuzi wao,,,,
@MziziMkavu, @Mbuzi Mzee...ninaomba ushirikiano wenu, asanteni sana.

Karibu sana JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…