Hodi jf kwa mara nyingine tena

Hodi jf kwa mara nyingine tena

ShyaRuwa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
7,895
Reaction score
13,643
Habari zenu wandugu? nimekuwa mudau wa jf kwa miaka 2, nimejiunga mwaka jana...nimekuwa mshirika kamili july mwaka huu. Ushirikiano wenu ni muhimu naamini kwa pamoja tutajifunza na kuzooea mengi....yangu ni hayo...karibuni kwa ushauri, maoni na hata maonyo.
 
karibu sana...ila nakushauli uwe na heshima kwa wakubwa na wadogo ogopa sana kuwafuata watu wenye id za kidem pm zitakupotezea muda
Nimekuelewa mkuu....shukrani kwa ushauri...nitauzingatia.
 
krb sana JF mjukuu wetu...
Asante sana Mkuu hili jukwaa ni tamu sana....kama unajua kuandika na kusoma plus lugha ya malkia kidogo unaeza okota PhD humu....hahahaha just kidding ila jf ni bwawa la ufahamu
 
We ndo ******** kabisa,mtu aliyejiunga jf may 30/2015 ni new member?
Kujiunga may 30/2015 siyo issue mkuu....mambo mengine sikuelewa kabisa....kutizama mpira na kucheza ni vitu 2 tofauti....kila kimoja na perception yake.
 
PM ni kama gizani tu labda uwe umezoea na mtu la sivyo utaingia chaka
Asante mkuu kwa ushauri...pia nauliza kama naweza kubadili username, inawezekanaje hiyo?
 
Back
Top Bottom