Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 828
- 1,513
Ina maana uliingia ukatoka kwahiyo unarudi tena!Kumredi wakuu
nasubiri wenu ukaribisho
Id yako ilikua ina nini kikubwa?
eti mkuu waliniambia tatizo ni avatar
Karibu sana JF mjukuu wetu kwa GT................
HAWAPO WENYEJI RUDI HUKO HUKOKumredi wakuu
nasubiri wenu ukaribisho
Mmh harudi mtu apa tutawasubiri mpaka warudi tena ntakaa na wewe nikiwasubiri wakuu....HAWAPO WENYEJI RUDI HUKO HUKO