Hodi JF members

Hadi unafika ndo unatoa taarifa...
Haya karibu unataka kuelekea wapi tukueleza jukwaa kubwa sana hili Happylady
 
Last edited by a moderator:
Hadi unafika ndo unatoa taarifa...
Haya karibu unataka kuelekea wapi tukueleza jukwaa kubwa sana hili Happylady
popote pale,coz nasikia kuka member JF ukikaa vibaya umeenda na maji
 
Last edited by a moderator:
popote pale,coz nasikia kuka member JF ukikaa vibaya umeenda na maji

Popote ukikaa vibaya bila kufuata sheria umekwisha
Fuata sheria za JF utakuwa safe neno BAN utalisikia kwa watu.
 
Njoo upande wa MMU huku full shangwe hakuna stress
 
karibu happylady ila mbavu zako zisiwe na hitilafu maana huku unaweza poteza fahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…