Twalyaninkomi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 265
- 259
Upo mkoa gani?member mpya kabisa mimi, naombeni mnipokee mnipe somo niweze kuielewa vema jamiiforum
Asanteni
asanteKaribu
nipo mkoa wa Rukwa,Upo mkoa gani?
Duuuh mpaka huko inafika?nipo mkoa wa Rukwa,
wewe uko mkoa gani
Mimi ni me!Wewe ni Me au ke?
Asante,karibu mkuu! hii ndio Jamiiforum
Utapigwa Ban!Mimi ni me!
wewe ni ke au me?
Namba gani hiyo?umesema tukupe somo kwani ile namba hujaisoma?
Ndio niniUtapigwa Ban!
acha waisome nambaeee sijui nini mbele kwa mbele...Namba gani hiyo?
Hahahaha hizo sasa dharauuuDuuuh mpaka huko inafika?
Aahahahacha waisome nambaeee sijui nini mbele kwa mbele...
hukajui hako..?
Kwanini isifike?Duuuh mpaka huko inafika?
Haya karibu jfAahahah
iyo naisoma vizuri sana