Hodi Jf

mr vata

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2017
Posts
465
Reaction score
616
Mimi ni mgeni jamani naomba tuvumiliane na kupeana muongozo panapostahili...
 
Karibu sana! Naona umeingia chumba cha wapenda maendeleo, wasiopenda blaablaa! Unahitaji mwongozo katika lipi Mr. Yata?
 
Asante. Muongizo pale ninapotoka nje ya njia sahihi.
Niite Mr. Vata
 
Mimi ni mgeni jamani naomba tuvumiliane na kupeana muongozo panapostahili...
Cha kwanza picha!!
Pili!! Wee ni me au ke!!
Tatu!unatokea wapi
Nne!wee chama gani cha kisiasa hapa tz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…