Hodi JF

Swingman

Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
15
Reaction score
26
Hodi Jf,

Mimi ni mgeni, nimefurahi sana kujumuika nanyi.

Nimekuwa nikijisomea nje, bila ya kuwa member hivyo ngoma imeninigea na sina budi kuicheza.

Naomba Ushirikiano wenu Wakuu.
 
Hodi ya dume huwa hainogi![emoji58][emoji58][emoji58]
 
Kama hujaja na
Mbege ww toka tu humu
Ndan
 
Hodi Jf,

Mimi ni mgeni, nimefurahi sana kujumuika nanyi.

Nimekuwa nikijisomea nje, bila ya kuwa member hivyo ngoma imeninigea na sina budi kuicheza.

Naomba Ushirikiano wenu Wakuu.
Mbona unaandika hovyo? Angalia hapo nilipokuwekea nyekundu.

Kamtafute kwanza Mwl wako wa Maandiko darasa la pili akufundishe kisha kurudi.

Vinginevyo, karibu sana JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…