Hodi JF

Joined
Jun 20, 2019
Posts
5
Reaction score
1
The Peak Magazine, ni jarida linalolenga kuihamasisha jamii, kwa hoja mbalimbali zitakazokuza fikra katika nyanja mbalimbali.

Tukiwa wapya kwenye tasnia hii, tunaamini katika kuibua vipaji vipya hivyo, kila mwandishi mpya atapewa fursa Sawa ya kukuza kipaji chake.

Sio Siri tena, kuwa JF Ndio,(kama inavyojitambulisha) the home of great thinkers,hivyo tunafurahia kujiunga na familia hii yenye fikra madhubuti, zitakazotuletea Maendeleo kijamii ,kiuchumi na kimkakati.

Hivyo kalibuni, kwa mawazo na ushauri na pia maelekezo.
THE PEAK MAGAZINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…