Hodi JF

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,726
Reaction score
3,778
Hi ladies and gents, mambo yakoje and how are you for those who are not used to SWAHILI Language. Unajua, when you enter a place which for sure you know that you are new, you better give asalam alyeikum to wenyeji. Nimeingia wazee. Leteni taratibu za kujumuika kwa page hiiiii.
 
Karibu Mr angalizo nakupa, chunga vidole vyako kila unachokisema kuwa na data za kutosha sababu ni kuwa humu ndani kuna watu wa kila aina maprofferser mpaka siye wakulima najua unanielewa.....!!!
 
Karibu Chiwaso.lakini ungeipost pia kwenye jukwaa la utambulisho ingekuwa vema zaidi.
Siku ya kwanza mpe mgeni kiti akae na ya pili, ya tatu chukua jembe ukalime ndo JF inavyokuwa .
Karibu sana.
 

Karibu sana Chiwaso.

JF ni forum iliyotulia na ambayo iko user friendly. Cha kwanza kabisa unatakiwa ujue kwamba kuna forums mbalimbali kulingana na mada husika. Kama hapa ulichokifanya ni kwamba umeleta mada ya utambulisho kwenye forum inayojadili zaidi mambo ya kisiasa.

Kukusaidia tu ni kwamba unapokuwa kwenye homepage ya JF utaona Forums nyingi tu na katika hizo ni wewe utaamua ni ipi inakufaa uingie na uweke thread au uchangie hoja kwenye thread. Nadhani atleast kwa haya machache utakuwa umejua na mengine utayajua taratibu.
 
Huwa nasikitika sana idadi ya midume inapoongezeka hapa..karibu kwa shingo upande.
 
Karibu sana, lakini ukijisikia kuondoka usisahau kuaga...
 
Huwa nasikitika sana idadi ya midume inapoongezeka hapa..karibu kwa shingo upande.

usisikitike Burn mashosti wapo kibao hujawanasa tuu kwenye anga zao kuwa mvumilivu
 
Karibu Mr angalizo nakupa, chunga vidole vyako kila unachokisema kuwa na data za kutosha sababu ni kuwa humu ndani kuna watu wa kila aina maprofferser mpaka siye wakulima najua unanielewa.....!!!

Ni kweli achunge vidole vyake maana hao ukliowataja hapo wakishirikiana na Maprofessor watamsue asipokuwa na data kamili (Joke)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…