Hallo wana JF. Nimejiunga leo na hii forum lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda.
Naamini mchango wangu utaongeza, japo kidogo kwenye mabadiliko ya fikra na hazina ya ujuzi kwa ujumla. Nategemea ushirikiano. Ahsanteni.