Hodi JF

Hodi JF

Nkungulume

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,987
Reaction score
1,209
Mimi nimejiunga hapa JF kama wiki mbili hivi zimepita kwa ujumla nimefurahia maisha ya hapa jamvini

Nitakapo kosea basi naomba msisite kuniweka sawa asanteni
 
Kipi kimekufurahisha??

Kuna majadiliano katika baadhi ya posi watu wanajibu majibu ambayo unaweza kucheka peke yako lakini kubwa zaidi ni kupata taarifa mbalimbali kwa haraka kuliko mtandao mwingine wowote
 
Back
Top Bottom