Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,209
Hata me nataka kujua
Mgeni tubamkalibisha ila humu kuna kucheka na kulia pia kuna kununa
Haswaaaa,
Asiangalie upande mmoja, kuna siku anaweza kuguswa mahali akapanic mpk akatoa machozi huko aliko,
Kuna watu wanamajibu unaweza kupitishwa kituo kma upo kwenye daladala
Kipi kimekufurahisha??
Mgeni tubamkalibisha ila humu kuna kucheka na kulia pia kuna kununa
krb sana JF....