Hodi jukwaani wanajamvi

Hodi jukwaani wanajamvi

Samuel Doe

Senior Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
134
Reaction score
30
salamu kwenu GT
naomba mnipokee katika uwanja wa great thinkerz ili tuweze kuijenga nchi yetu kwa pamoja kupitia jukwaa hili.
natanguliza shukrani
 
umefufuka? we si uliuawa kikatili mwaka 1990 kule monrovia? vp prince johnson hajambo?
 
salamu kwenu GT
naomba mnipokee katika uwanja wa great thinkerz ili tuweze kuijenga nchi yetu kwa pamoja kupitia jukwaa hili.
natanguliza shukrani
karibu sana JF Samuel Doe, naitwa Excel.

kuwa huru kusema chochote ndani ya JF bila kuvunja sheria.

This is the home of Great Thinkers. So you are too!

usiwe -------- kuamini kila jambo-fikiri sana kabla hujasema chochote.
 
Last edited by a moderator:
ahsante sana mkuu..nitazingatia hayo na nitajitahidi kuzuia hisia za wanaoudhi na kuprovoke wenzao kwa namna yoyote ile

Back
Top Bottom