Samuel Doe
Senior Member
- Apr 8, 2014
- 134
- 30
karibu sana JF Samuel Doe, naitwa Excel.salamu kwenu GT
naomba mnipokee katika uwanja wa great thinkerz ili tuweze kuijenga nchi yetu kwa pamoja kupitia jukwaa hili.
natanguliza shukrani
karibu sana JF Samuel Doe, naitwa Excel.
kuwa huru kusema chochote ndani ya JF bila kuvunja sheria.
This is the home of Great Thinkers. So you are too!
usiwe -------- kuamini kila jambo-fikiri sana kabla hujasema chochote.
umefufuka? we si uliuawa kikatili mwaka 1990 kule monrovia? vp prince johnson hajambo?