Hodi jukwaani

Hodi jukwaani

daughter

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2009
Posts
1,275
Reaction score
748
Hamjambo wanajamii?nimefurahi kujiunga ndani ya jukwaa hili.Hongereni kwa yote mema mnayoyafanya.Tuko pamoja...
 
Karibu sana muheshimiwa,huyo mkulima ndo mpokezi wetu.Karibu na uwe na amani.
 
Karibu Binti yetu na jisikie uko kwa wazazi. Tunasubiria michango yako.
 
Back
Top Bottom