kibosho lady
Member
- Apr 7, 2015
- 7
- 2
Karibu ma,nikunengee mringaaaa? Wachagga wenzio ndo sisi. Mimi na miss chagga. Welcome to the sister hood. Wachagga humu wote tuna hoja nzito nzito:lol:
Karibu, pita hadi uani ukaguliwe.
with her avatar...............kweli she is chagga girl
Karibu ma,nikunengee mringaaaa? Wachagga wenzio ndo sisi. Mimi na miss chagga. Welcome to the sister hood. Wachagga humu wote tuna hoja nzito nzito:lol:
Dah!jamani kuna ukaguzi tena au humu kuna TRA?
Ukaguzi muhimu, tutajuaje kama umetumwa na alshababu je...!? Mimi huwa nakagua kwa macho tu, ngoja tusubilie wenye vikagulio waje ndo uta qualify humu.
Mang'ana, ur wlc