Elongo Junior
Member
- Apr 21, 2018
- 55
- 30
Asante ndugu kwa kunifungulia mlangoKaribu sana mgeni
Naona umekuja na mashahiri.
GHANI HIZO................Hodi hodi naingia, jamvini pamoja nanyi.
Hoja zenu kuchangia, uzembe katu sifanyi.
Kwa ugeni naingia, makosa kwenu sifanyi.
Nipate ndani ingia, kuchati pamoja nanyi.
Ndo zenyewe Ulimakafu, AsanteGHANI HIZO................
Asante mwenyeji Ulimakafu kwa kunikaribishaKaribu sana JF..