Hodi ,mambovp,asalaam aleykum,bwana asifiwe,tumsifu yesu kristo,shalom,emmanuel

karibu mkuu we ni me au ke? Unatumia kinywaji gani?
 
karibu mkuu pita kabisa hadi JF RULES UKAPUMZIKE HUKO.
 
Hizo salamu za kidini magenius wetu wamekataza!
Karibu.
 
Jamani, mie nilifikisha tu ujumbe wa mh mbatia na ushauri wa ziada kwa ajili ya kupambana na udini.
Kha ha ha ha ha ha haaaa!
Mkubwa atajatukimbia huyu na arudi Whatssp!
Adoado Mkuu na kauli yako kwa wageni!
Pamoja sana!
 
Best huku kwatufaa siye wenye lugha laini...si waona wageni wameongezeka siku hizi...

Jamani, mie nilifikisha tu ujumbe wa mh mbatia na ushauri wa ziada kwa ajili ya kupambana na udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…