Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana... tuambie umri wako, jinsia yako na kama uko kwenye mahusiano ya kimapenziHodi me mgeni,hamjambo?
Babuuuu.... Unataka umkuwadie nini?[emoji12]Karibu sana... tuambie umri wako, jinsia yako na kama uko kwenye mahusiano ya kimapenzi
We una akili sana. Yani nimkuwadie baada ya kumkaguaBabuuuu.... Unataka umkuwadie nini?[emoji12]
Hahaaa ila una ubaguzi, mimi mbona hunikuwadii?[emoji12]We una akili sana. Yani nimkuwadie baada ya kumkagua
We si uligoma kukaguliwa? Siwezi kufanya biashara bila kujua quality ya bidhaa nayouzaHahaaa ila una ubaguzi, mimi mbona hunikuwadii?[emoji12]