hodi me mgeni

Sharti la kwanza, ntumke Pm bank account namba yako iliyosajiliwa SIM BANK na namba ya siri nikukague
 
Karibu ila uwe na adabu kuna watu tuna mademu humu usianze kutongoza tongoza ovyo. Ooops sorry wewe ni jinsia gani?
 
Hahaaa ila una ubaguzi, mimi mbona hunikuwadii?[emoji12]
We si uligoma kukaguliwa? Siwezi kufanya biashara bila kujua quality ya bidhaa nayouza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…