Hodi,Mimi mgeni. Naomba ushirikiano wenu

Joined
Mar 25, 2017
Posts
28
Reaction score
18
Amani ya bwana iwe nanyi. Mimi ni mgeni wa forum hii. Nimevutiwa kujiunga baada ya kusikia kuwa forum hii huwa ina mijadala mikali na mizuli sana. Nitawashukru sana kwa ushirikiano wenu.
Nipokeeni kwa mikono miwili.
Jambazi hatari.
 
Karibu sana.

Umesema wewe ni mgeni, je utarudi lini maana hatuna fedha za kukutunza kipindi chote ukizingatia hali ya sasa siyi nzuri kabisa.
 
Tatizo mimi polisi na wewe jambazi ngoja nikuache maana sikawii kuku arrest na kuku rearrest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…