Hodi mmu

Hodi mmu

UJUKUKU

New Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Jamani wadau JF,
Habari za masiku? Nabisha hodi wadau. Nimetafakari kwa muda mrefu yanayojiri JF nikiwa siyo member na leo nimeamua kujiunga nisipitwe na uhondo wa JF
 
Karibu hadi ndani
Nakuhakikishia uko katika mikono salama kabisa.
We ni wa jinsia gani jamani?:violin:

Nina jukumu la kuwabandua lebo na manailoni wageni.
 
Kongosho kwanini unamuuliza jinsia!
 
Karibu sana mgeni! Utaratibu wetu ni hivi; unaandika majina yako halisi yote matatu, umri wako, mahali unapoishi, namba yako ya simu na anuani ya posta, marital status pamoja na kazi yako ili siku ukipatwa na shida iwe rahisi kukusaidia kwa sababu we ushakua chama letu!!! Unakaribishwa sana mheshimiwa!
 
karibu sana mkuu. lakini naomba ujibu swali la kongosho ili tuweze juwa pa kuanzia kukubandua rebo. Mia
 
Karibu sana mgeni! Utaratibu wetu ni hivi; unaandika majina yako halisi yote matatu, umri wako, mahali unapoishi, namba yako ya simu na anuani ya posta, marital status pamoja na kazi yako ili siku ukipatwa na shida iwe rahisi kukusaidia kwa sababu we ushakua chama letu!!! Unakaribishwa sana mheshimiwa!
Kipipi!!!
 
Jamani wadau JF,
Habari za masiku? Nabisha hodi wadau. Nimetafakari kwa muda mrefu yanayojiri JF nikiwa siyo member na leo nimeamua kujiunga nisipitwe na uhondo wa JF

Habari za masiku kwani tulishawahi kuonana?
Umefuata nini humu?
Haya shime rudi ulikotoka. Hatukupokei.
 
karibu mnooooooo mmu sijui watumia kinywaji gani mgeni
 
mbona umepigia hodi MMU? jukwaa zingine huzitaki?
 
usimkaribishe mgeni kwa kumwambia feel at home. labda katokea iraq au darfur utampa wakati mgumu.

Just say, feel free kumPM kongosho

Mmh kweli ww mia......... karibu ndugu! feel at hm.
 
karibu sana mkuu ila kongosho kakuuliza swali jepesi sana au wewe ni ke nini mbona unajistukia aisee..
Pia kuna jukwaa la sport na MK unahtajika pia huko
 
Karibu sana mgeni! Utaratibu wetu ni hivi; unaandika majina yako halisi yote matatu, umri wako, mahali unapoishi, namba yako ya simu na anuani ya posta, marital status pamoja na kazi yako ili siku ukipatwa na shida iwe rahisi kukusaidia kwa sababu we ushakua chama letu!!! Unakaribishwa sana mheshimiwa!

Kipipi!
 
Back
Top Bottom