Kipipi!!!Karibu sana mgeni! Utaratibu wetu ni hivi; unaandika majina yako halisi yote matatu, umri wako, mahali unapoishi, namba yako ya simu na anuani ya posta, marital status pamoja na kazi yako ili siku ukipatwa na shida iwe rahisi kukusaidia kwa sababu we ushakua chama letu!!! Unakaribishwa sana mheshimiwa!
Kipipi!!!
karibu mgeni. Zingatia maelekezo ya Kipipi
karibu sana mkuu. lakini naomba ujibu swali la kongosho ili tuweze juwa pa kuanzia kukubandua rebo. Mia
Jamani wadau JF,
Habari za masiku? Nabisha hodi wadau. Nimetafakari kwa muda mrefu yanayojiri JF nikiwa siyo member na leo nimeamua kujiunga nisipitwe na uhondo wa JF
Habari za masiku kwani tulishawahi kuonana?
Umefuata nini humu?
Haya shime rudi ulikotoka. Hatukupokei.
Kongosho kwanini unamuuliza jinsia!
Mmh kweli ww mia......... karibu ndugu! feel at hm.
mbona umepigia hodi MMU? jukwaa zingine huzitaki?
Karibu sana mgeni! Utaratibu wetu ni hivi; unaandika majina yako halisi yote matatu, umri wako, mahali unapoishi, namba yako ya simu na anuani ya posta, marital status pamoja na kazi yako ili siku ukipatwa na shida iwe rahisi kukusaidia kwa sababu we ushakua chama letu!!! Unakaribishwa sana mheshimiwa!