Hodi MMU

Karibu, we ni she au me ili wazee tujipange....................!:becky::confused2:
 
Mbona unasound kama mgeni mwenyeji wewe?
Au ndo wale mnaoandika from Temeke to Kinondoni.
 
Tnx but mgeni mimi cjui kama mtapona
 
hivi hata me wanakuwa hot eeeh!!!

Ndo maana ya kuulizwa wewe me au she, kwangu walio hot ni she, karibu........!
Ila hujajibu swali umeuliza swali juu ya swali............!:confused2:
 
Huyu si ajabu id yake imepigwa ban kaja kivingine.

Ni kweli kwa haya manjonjo wenyeji tunawajua bana, ameweka na avatar loooooooooooooooh! karibu mwenyeji kivingine.
 
Mgeni kweli wewe?
Naona Fang kakugongea like. Hii ni bonge la hint!!!
Si unajua yeye ni insider, anaona double ID zote?
Karibu dada "So hot", hapa ni kwetu, unakunywa nini?
 
Ndo maana ya kuulizwa wewe me au she, kwangu walio hot ni she, karibu........!
Ila hujajibu swali umeuliza swali juu ya swali............!:confused2:

hapo mbona ushajijibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…