Hodi mpaka chumbani!

Bin Kawambwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
440
Reaction score
297
Hello JF! Nafurahi kuwa mwanachama, Natumai sijachelewa sana, tutakuwa pamoja from now on..
Tushirikiane pasipo kujali itikadi zetu iwe za siasa, dini, rangi, kabila & so fifth!
Ahsanteni, naomba kuingia.
 
Karibu sana.

Many many many thnx Ritz. Nmefurahi sana kupokea karibu yako. Kwa muda ambao sikuwa mwanachama nimekuwa napendezwa sana na hoja zako ingawa naweza nikawa sizikubali lkn navutiwa na namna unavyotetea point yako, wewe pamoja na wengine kama Mz Zomba.
Ahsante sana Ritz, nimekaribia.
 
karibu mkuu ila ishia sebuleni kwa sasa
 
Nilipojiunga niliachana na forum hii maana ilikuwa inaendeshwa kitoto sana kwa sasa imekomaa inafaa kuitwa The Home of Great Thinkers kikwelikweli
 

Mkuu ndio maana ya uhuru wa kujieleza.
 
Nami ni mgeni nakaribishwa?? Au mpaka nije na kishika uchumba

so ulikuwa wapi siku zote au ndio ulipoona jf kwanini hukuleta au kufanya jitihada iwe ya kikubwa? ok karibu sana tuone michanga yako ya kikubwa...
 
Hello JF! Nafurahi kuwa mwanachama, Natumai sijachelewa sana, tutakuwa pamoja from now on..
Tushirikiane pasipo kujali itikadi zetu iwe za siasa, dini, rangi, kabila & so fifth!
Ahsanteni, naomba kuingia.
Karibu sana The Prof. has been turn dog!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…