jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Umeongea point sanaa mkuu mwenyew nimeona hi ivyooUko pakishamba sana ..hao kuku utajikuta unakula munyewe. Nenda mbinga uko nyanda za juu kusini, au kaskazini magharibi mwa nchi hii kuna hela sana kule utapiga hadi ushangae
Natumae mu wazima
Soon nataka kutanua biashara yangu ya kuku wa kisasa maarufu kama broiles.
Nauliza wenyeji wa mwanza je upepo wa biashara ya aina hii ya kuku ikoje huko,au mwanza ni mwendo wa samaki na dagaa wa ziwa?
BiasharaHainaChama.
Uko pakishamba sana ..hao kuku utajikuta unakula munyewe. Nenda mbinga uko nyanda za juu kusini, au kaskazini magharibi mwa nchi hii kuna hela sana kule utapiga hadi ushangae
Watu wa mwanza wana samaki tele na kuku wa kienyeji, broiler sio mambo yao.
Hii ni biashara nzuri kwa Dar.
Njoo KATAVI
Mwanza usilete hizo kuku,,utasumbukaa sana na soko
Tunakasumba ya kula samaki sanaa
Kuku mara moja moja
Naam mkuuSoko lipo mkuu?