mimi bado mgeni sijui hata jinsi ya kutumia hii j,f ila kwa kuwa sisi watanzania tuna la kujivunia ni umoja tulionao sisi watanzania kukosea ndiyo kujifunza kwa siogopi hii j.f ni yetu sote tusio na elimu ya kutosha na wenye elimu zolizo shiba mithili ya nondo siment asanteni