Hodi ndugu zangu

Hodi ndugu zangu

Aaron2013

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
50
Reaction score
24
Naomba mnipokee rasmi leo wana jamvi,nimekuwa msomaji wa muda mrefu na sasa nimeamua kuchonga mzinga.Naamini mtaniongoza vema katika michakato mbalimbali hapa JF
 
Karibu lakni na mimi ni mgeni naomba tukokotane niambieni ntawezaje kuweka picha kama nyie?
 
Back
Top Bottom