Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana mkuu, lakini mbona umevuta jiko kimyakimya bila kututaarifu wadau? Hongera sana!Wanajf niliwamiss sana baada ya kuwa tanganyika kwa mwezi hivi nikiwa na kazi ya kuvuta jiko huko ta, sasa niko Tanzania ndio maana niko hewani. Nimekosa mambo kibao ila tuko pamoja sasa. Siku njema